Monthly Archives: September 2010

Ya nini ajizi? Mzanzibari sema NDIYO

Nini maana ya kukubali mabadiliko? Na nini maana ya kuyakataa? Pale kura ya NDIYO itakaposhinda, maana yake wapiga kura walio wengi wameridhia matumaini ya serikali kuandaa muswada wa mabadiliko ya katiba ili kuruhusu kuja kuundwa kwa serikali ya umoja wa … Continue reading

Posted in Uncategorized