Monthly Archives: February 2011

Dk. Shein na serikali ya ‘mapinduzi daima’

Na Jabir Idrissa JANA, tarehe 8 Februari, 2011, ilikuwa siku ya 100 tangu Dk. Ali Mohamed Shein aingie madarakani visiwani Zanzibar. Aliapishwa 3 Novemba 2010 kuwa rais wa Zanzibar, baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi mkuu wa 31 Oktoba 2010. … Continue reading

Posted in Uncategorized

Nabwa, bado twakukumbuka

Na Mohammed Ghassany Siku kama ya leo, tarehe 14 Februari, miaka minne iliyopita, mtu ninayemchukulia kama ‘baba’ yangu, linapokuja suala la uandishi wa habari, Ali Mohammed Nabwa, alihitajiwa na Mola wake, akiwa kalazwa kwenye hospitali ya Muhimbili, jijini Dar es … Continue reading

Posted in Uncategorized