Monthly Archives: April 2011

Zanzibar imeonesha mfano

Kutoka ZanzibarYetu MHADHIRI wa Chuo Kikuu chaDar es Salaam, Dk. Mohammed Bakari amesema Zanzibar itazidi kupiga hatua katika suala la ushirikishaji wa wananchi katika kumaliza migororo ya kisiasa na kijamii baada ya kukubali mfumo wa kuunda serikali ya umoja wa … Continue reading

Posted in Uncategorized

Sherehe za Muungano Zanzibar, wananchi wasusia

MVUA kubwa iliyoanza ghafla leo hii ilisitisha sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Sherehe hizo zilizoanza majira ya saa 3:00 asubuhi, ziliingia dosari hiyo huku tayari mgeni rasmi, … Continue reading

Posted in Uncategorized

Tamko la Jumuiya za Kiislamu Zanzibar juu ya sherehe za Muungano

بسم الله الرحمن الرحيم UMOJA WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR TAMKO LA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAMU ZANZIBAR JUU YA HALI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, APRILI 26, 2011 LEO … Continue reading

Posted in Uncategorized

Bila kujadili Muungano Katiba mpya haijadiliki

MOJA ya matakwa ya Muswada wa Marejeo ya Katiba wa mwaka 2011 ambao mchakato wake umeanza kwa njia ya maoni ya wananchi, ni kutoguswa au kuzungumziwa kwa suala “nyeti” la Muungano ambalo kwa mtazamo wa Serikali madarakani, ni “fumbo la … Continue reading

Posted in Uncategorized