Monthly Archives: May 2011

Somo hili maridadi kutoka kwa jirani – Kenya!

KATIKA kipindi cha wiki mbili zilizopita, majirani zetu – Kenya, wameandika historia. Kwa mara ya kwanza tangu taifa hilo lijipatie uhuru wake, wanasheria 24 walijitokeza kuhojiwa na jopo la wanataaluma baada ya kutuma barua rasmi za kuomba kazi ya ujaji … Continue reading

Posted in Uncategorized

Mcheza kwao jama hutunzwa!

JUMATANO hadi Jumamosi iliyopita nilikuwa mjini Leipzig huko Ujerumani katika ile sehemu ambayo zamani ilikuwa ikiitwa Ujerumani ya Mashariki. Mji wenyewe umejengwa ukajengeka juu ya mto unaopita kwa maringo. Ingawa huu ni mwezi wa Mei na mji wa Leipzig uwe … Continue reading

Posted in Uncategorized

Uhalifu Zanzibar: Hakuna moto, rungu, panga la kuzuia uwekezaji

Miaka ya mwanzoni mwa tisini wakati wa utawala wa Rais Ali Hassan Mwinyi, ‘wahuni’ waliibuka katika Jiji la Dar es Salaam na kuvunja maduka ya nyama ya nguruwe kwa kile walichodai eti biashara hiyo ilikuwa inaleta mtafaruku ndani ya jamii. … Continue reading

Posted in Uncategorized | 1 Comment

Tanganyika/Tanzania Bara Itakapokubali kuwa Ndio Tatizo

Na Dr.Harith Ghassany, Hakuna woga katika kulizungumza suala la kuvunja Muungano. Liliopo ni kulizungumza kwa kutumia hikma kwa maana ya kila kitu tukiweke mahala pake. Ni muhimu kufikiria na kuyapanga mambo kwa kutumia busara na kuona mbali. Nakubali kuwa neno … Continue reading

Posted in Uncategorized

Tuachane na mitizamo ya kale, yote yanazungumzika

KATIKA makala yangu ya wiki mbili zilizopita, nilieleza baadhi ya sababu zinazotajwa na wachambuzi wa masuala ya siasa kuwa ndizo zilizosababisha juhudi hafifu za uandaaji wa muswada wa sheria uliokusudia kuanzisha mchakato wa mjadala na uandikaji wa Katiba mpya. Nilieleza … Continue reading

Posted in Uncategorized

Mauti ya Osama utata kama ulivyokuwa uhai wake

Licha ya wanasiasa Marekani kuinyooshea kidole Pakistan kwa madai ya kukumbatia ugaidi, Umoja wa Ulaya umejitokeza kuiunga mkono nchi hiyo na kutaka isaidiwe na sio kulaumiwa. Msemaji wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, Catherine Ashton, amesema … Continue reading

Posted in Uncategorized

Haiwezekani kutisha wananchi, ni kuwasikiliza tu

SIAMINI kama Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi anataka mgogoro na wananchi wa Zanzibar. Bado ninaamini kuwa wana imani naye, wanampenda na wanamuunga mkono anapoonesha ujasiri na uthabiti katika kutekeleza majukumu mazito yanayoikabili serikali ya … Continue reading

Posted in Uncategorized