Monthly Archives: June 2011

YA RADA: Heri Mkoloni kuliko Mtanzania fisadi

Wakati sakata la Rada likiibuka tena, mara hii kwa wauzaji-wasamaria wema kutaka kurudisha “chenji” ya pesa “iliyonunuliwa” rada hiyo, mvutano umeibuka juu ya wapi na nani akabidhiwe “chenji” hiyo… 

Posted in Uncategorized