Monthly Archives: August 2011

Wabunge wa Zanzibar wamjia juu Tundu Lissu

Wabunge kutoka Zanzibar wameishambulia hotuba ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani wa Wizara ya Katiba na Sheria, wakisema Zanzibar si koloni la Tanganyika. Walitoa kauli hiyo wakati wakichangia hotuba ya kambi hiyo kuhusu makadiro ya matumizi ya … Continue reading

Posted in Uncategorized

Mchakato wa Katiba: Tuanze kutafuta maoni kuhusu Muungano

WATANZANIA tunasubiri kwa hamu kuanza kwa mchakato wa kuandika katiba mpya ambao unawezekana ukaanza mapema mwakani, 2012, baada ya zoezi hilo kukwama mwaka huu kufuatia kukataliwa na wadau mswada wa sheria wa kuongoza mchakato huo ulioandaliwa na serikali.Hata hivyo, wakati … Continue reading

Posted in Uncategorized

Dk Bakari: Kuna changamoto kubwa ya kufikia utawala bora

    UKIWA unakaribia mwaka mmoja tangu ulipomalizika uchaguzi mkuu uliomrudisha madarakani Rais Jakaya Kikwete, bado hali ya utawala bora nchini imekuwa ya kutia shaka.

Posted in Uncategorized

Mwongozo Katiba mpya watolewa

Jukwaa la Katiba Tanzania limezindua ‘Mwongozo wa Katiba kwa Raia’ unaopendekeza mjadala wa kupata Katiba mpya, kutosahau masuala 10 ya msingi, ikiwamo mgombea binafsi, tume huru ya uchaguzi na Tanganyika kutambuliwa kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Posted in Uncategorized

Mbunge aionya Kenya kwa kulangua karafuu

MBUNGE wa Konde, Khamis Said Haji amesema Jumuiya ya Afrika Mashariki itavunjikia Zanzibar ikiwa Wakenya hawataacha mara moja kununua kwa magendo karafuu itokayo Zanzibar.

Posted in Uncategorized

Wazanzibari wawapa viongozi wao dhima ya kuwa na msimamo

WIKI hii nimeamua kuandika kuhusu mada iliyo muhimu kabisa kuhusu mustakbali wa Zanzibar na wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania — yaani mchakato wa kuipitia katiba ya sasa ambayo imekuwa ikizitawala nchi hizo mbili tangu mwaka 1977. Imekuwa ikifanya hivyo … Continue reading

Posted in Uncategorized

Sh1.7 bilioni zanunua karafuu Pemba

Sh1.72 bilioni zimeshatumika a katika zoezi la kununua tani 124.8 za karafuu chini ya usimamizi wa Shirika la Biashara la Taifa (ZSTC). Meneja wa ZSTC Pemba, Hamad Khamis Hamad, alisema hayo wakati wa ziara ya Makamu wa Kwanza wa Rais … Continue reading

Posted in Uncategorized