Monthly Archives: September 2011

OMBI KWA MHESHIMIWA BWANA SERIKALI

Na Hamad Hamad Bwana wangu Serikali, Mimi mtumwa wako, UnaPe, nakuomba unipatie usafiri wa uhakika wa kwenda kukukusanyia mali yako KARAFUU, ambayo naskia inakupatia pato la kutosha la kuendesha familia yako na kuimarisha ngome na kasri lako. Tafadhali, kwa heshima … Continue reading

Posted in Uncategorized

Waliokufa Zanzibar ni 1,741-Mbunge. Watatu wafikishwa kortini kwa ajali hiyo

Imeripotiwa na Nyakasagani Masenza MBUNGE wa Jimbo la Ziwani, mkoani Pemba kwa tiketi ya Chama Cha Wananchi (CUF), Bw Ahmed Juma Ngwali amedai kuwa idadi ya waliokufa katika ajali ya meli ya Mv Spice Islanders ni 1,741.

Posted in Uncategorized

Waziri Aboud atuletea dharau.

Huu ni wakati mgumu sana kwa Wazanzibar kutokana msiba mkubwa ambao utachukua karne kusahaulika katika Visiwa vyetu vya Unguja na Pemba. Sote Wazanzibar ni waumini wa dini ya kiislam ambayo kiitikadi tunaamini kwamba, tukipatwa na msiba miongoni mwetu kubwa kwetu … Continue reading

Posted in Uncategorized