Monthly Archives: December 2011

Kwa nini naadhimisha Tanzania?

KWA haraka haraka kabisa mtu anaweza kukimbilia na kusema “Tanganyika”. Na sababu iko wazi kwamba nchi iliyopewa uhuru Desemba 9, kutoka udhamini wa Umoja wa Mataifa uliokuwa chini ya Mwingereza, iliitwa Tanganyika. Na ni kweli taifa lililokuwepo baadaye hadi wakati … Continue reading

Posted in Uncategorized

Upinzani mkubwa Zanzibar kwa wenye kutaka serikali moja…

KWA vile Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba umepitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, muswada huo utatekelezwa mara tu utapomalizika mchakato wa kuufanya uwe sheria kamili.

Posted in Uncategorized

Zanzibar inaishi, Tanganyika ilikufaje?

NCHI yetu inaingia kwenye mchakato wa kuandika Katiba mpya. Tayari Bunge limepitisha muswada wa kuanzisha mchakato huo. Moja ya mambo yanayoyumbisha nchi ni suala la Muungano usioeleweka. Je, Katiba mpya itaweza kutatua kero hizo? Na ni zipi kero hizo?

Posted in Uncategorized

Maalim ampongeza Kikwete kuheshimu hadhi ya Z’bar

WAKATI Tanzania inajiandaa kutunga Katiba mpya, Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema umoja na sauti moja ndio silaha pekee ya kuwawezesha Wazanzibari kulinda maslahi ya Zanzibar ndani ya serikali ya Muungano.Alisema kukosekana kwa msimamo huo kutawakosesha kutumia … Continue reading

Posted in Uncategorized