Monthly Archives: April 2012

Profesa Sharif: Karume alidhani amesaini Shirikisho la Afrika Mashariki, si Muungano wa nchi mbili

WAKATI Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ukitimiza miaka 48 mwaka huu, kumekuwa na harakati nyingi visiwani Zanzibar za kutaka uhuru mpya wa visiwa hivyo na kuupinga Muungano wazi wazi. Watu wamekuwa wakijadiliana kupitia kwenye makongamano, mabarazani na hata kwenda … Continue reading

Posted in Uncategorized

Sheikh Karume na kilio cha sasa cha Wazanzibari

MENGI yameandikwa na mengi yataendelea kuandikwa kumhusu Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa mwanzo na wa pekee wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambaye Aprili, mwaka 1964 alikubali kuiunganisha nchi yake na ile ya Tanganyika. Hadi sasa walioandika kumhusu Karume … Continue reading

Posted in Uncategorized

Kwa nini Okello alifurushwa Zanzibar?

Mwandishi Ahmed Rajab anajaribu kuelezea sababu za kufukuzwa kwa “Field Marshal” John Okello visiwani Zanzibar baada ya mapinduzi ya mwaka 1964. Makala hii ni majibu ya mlolongo wa hoja za mwandishi Joseph Mihangwa juu ya sababu zilizopelekea mwanamapinduzi huyu anayesemekana … Continue reading

Posted in Uncategorized

WAZANZIBARI WANA HAKI YA KUJADILI MUUNGANO

Labda leo makala hii ivunje ukimya juu ya hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa hapa Zanzibar, maana vyombo vya habari vyote vya Tanzania vimefanya kama kwamba hakuna kilichopo, yaani mambo kama kawaida. Kwa hakika mambo si kama kawaida. Kuna harakati … Continue reading

Posted in Uncategorized

Uwiano wa uteuzi wa mabalozi wahojiwa

WAZIRI ya Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mohamed Aboud Mohamed amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano, Jakaya Kikwete ndiye mwenye mamlaka ya kikatiba kuteua mabalozi wanaoziwakilisha Tanzania nje ya nchi. Aboud alitoa kauli hiyo wakati alipokuwa akijibu … Continue reading

Posted in Uncategorized