Monthly Archives: October 2012

Jinsi Moyo alivyowasuta wanaojaribu kuuvunja Umoja wa Wazanzibari

WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu umuhimu wa nchi kama Zanzibar ya leo kuwa na siasa za umoja badala ya kuwa na siasa za mivutano. Hii ni mivutano yenye kutishia amani ya nchi na hupaliliwa na vyama vya kisiasa. Advertisements

Posted in Uncategorized

Nani CCM B? Msikilize kwa makini Mhe Juma Duni Haji

Madhumuni ya Chama cha wananchi CUF kama yalivyo katika Katiba yake ni, “Kuwaunganisha watanzania wakatae uonevu, kudhalilishwa, kunyanyaswa, kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binaadama, yawe yanayotendwa na Serikali, kikundi cha watu walio na … Continue reading

Posted in Uncategorized

HOTUBA YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MHE. MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UTARATIBU WA VIONGOZI KUKUTANA NA WAANDISHI KILA BAADA YA MIEZI MITATU KUZUNGUMZIA UTENDAJI SERIKALINI HUKO HOTELI YA GRAND PALACE MALINDI MJINI ZANZIBAR TAREHE 6 OKTOBA 2012

Waheshimiwa Waandishi wa habari Kwanza kabisa sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutuweka katika hali ya uzima hadi kukutana tena leo kuzungumzia utendaji na majukumu yetu tuliyokabidhiwa na wananchi wa Zanzibar katika serikali yetu ya awamu ya saba ya … Continue reading

Posted in Uncategorized

Fat-hu Zinjibari

Kufuatia sui-tafahumi ya miaka nenda miaka rudi katika dola ya Zanzibar, ambayo ilipelekea kudamirika na kupoteza hadhi yake ya asili, Wazanzibari walipigana vita visivyokuwa vya kumwaga damu na hatimae kuikomboa dola ya Zanzibar, katika tukio hili nnaloliita Fat-hu Zinjibari. Vita … Continue reading

Posted in Uncategorized