Monthly Archives: December 2012

Wazanzibari wamewasaliti viongozi wa Uamsho?

Tangu kutajwa kwa mchakato wa kukusanya maoni juu ya katiba mpya, wananchi na tasisi mbalimbali za kiraia nchini Zanzibar wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu hatua hiyo kwa kufuatilia mijadala mbalimbali na hatimae kufikia kuwasilisha maoni yao kwa tume husika. Wengi watakubali … Continue reading

Posted in Uncategorized