Dira Zanzibar

Dira

Kwa takriban miaka miwili kutoka mwaka 2002, Zanzibar ilionja raha ya kuwa na chombo huru cha habari cha kwanza baada ya Mapinduzi ya 1964, gazeti la Dira Zanzibar lililokuwa chini ya uongozi wa mwandishi mashuhuri na jasiri, Arham Ali Nabwa.

Ingawa gazeti hilo lilikuja kupigwa marufuku na Serikali ya Mapinduzi (SMZ) baadaye kwa madai ya uchochezi na kukiuka maadili ya uandishi wa habari, bado linabakia kuwa alama ya mapambano ya Wazanzibari kupitia taaluma ya habari katika jitihada zao za kujenga jamii ya kidemokrasia na inayoheshimu uhuru wa mawazo.

Katika ukurasa huu unaounganishwa moja kwa moja kwenye mtandao wa Mzalendo.Net, msomaji anaweza kujikumbusha miaka miwili hiyo ya mapambano. Karibu

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s