Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru

Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru

Dkt. Harith Ghassany, anayeishi hivi sasa Washington DC, Marekani, ameandika kitabu hiki kinachofunua ukweli uliopo nyuma ya Mapinduzi yaliyofanyika Zanzibar mwaka 1964.

Ni hadithi ya kwanza ya aina yake kusimuliwa juu ya nini hasa kilifanyika na kwa nini kilifanyika karibuni miaka 50 iliyopita. Ni kitabu kinachopaswa kusomwa na kila mwenye kutaka kuujua ukweli. Ikiwa upo eneo la Afrika ya Mashariki, unaweza kuangizia kitabu hiki kutoka kwa Salma Said, ambaye simu yake ni namba +255 777 477 101. Kama una nafasi ya kukisoma kwenye mtandao, tafadhali bonyeza hapa.

Vidokezo vya uandishi wa Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru

“Kwa kipindi cha takriban miaka saba, Dkt. Ghassany alikuwa akija Tanga kwa mahojiano na Mzee Mkwawa na katika kipindi hicho Mzee Mkwawa alitupeleka Kipumbwi na Sakura na kutuonyesha sehemu zile ambazo walikuwa na kambi na wakifanya mazoezi ya kivita na matumizi ya silaha. Mkahawa, ambao wale wakata mkonge walikuwa wakila chakula cha usiku kabla ya kuvushwa kwa vyombo vya bahari kwenda Unguja, bado upo hadi leo ingawa kwa sasa kijumba kile hakitumiki tena kama mkawaha. Endapo itakuja siku serikali ya Zanzibar itataka kuhifadhi historia ya Mapinduzi ya Zanzibar, bila shaka moja ya vitu vitakavyokuwa katika makumbusho ni picha ya hicho kibanda.” Soma vidokezo hivi viivyoandikwa na Mohammed Said

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s