Zanzibar Yetu

Salma Said

Salma Humoud Said ana fakhari ya kujitambulisha kutokana na nchi yake ya Zanzibar. Mwandishi huyu wa habari alizaliwa katika Mji Mkongwe na kama anavyosema mwenyewe, kwake Zanzibar sio tu ni nchi ya uzawa, bali alama ya heshima, kuvumiliana na ustaarabu.

Salma Said amekuwa mwandishi wa habari tangu mwaka 2000. Amekuwa akiviandikia vyombo kadhaa, vikiwemo magazeti ya Mwananchi na The Citizen na pia anaripoti kwa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani (DW) kutokea Zanzibar.

Mwandishi huyu amewahi kufanya kazi na Voice of America (VoA) na BBC Monitoring na hadi sasa ni mchangiaji wa makala kwa magazeti mbali mbali kama vile An Nuur la Dar es Salaam.

Fungua moja ya viungo hapa chini kusoma, kuona na kusikiliza mengi kutoka kwa Salma Said.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s