Tanzania: Constitution Forum Received Well After Sensitisation

Prof. Abdul Sheriff, Chairman of Baraza la Katiba, Zanzibar

Prof. Abdul Sheriff, Chairman of Baraza la Katiba, Zanzibar

Zanzibar — AFTER months of heated debate during the first phase of the proposed new Union Constitution, Zanzibar is relatively calm, after the second phase of kicked off last Friday.

Thanks to the Zanzibar Constitution Council- Baraza la Katiba Zanzibar (BAKAZA) for engineering the changes. BAKAZA is little known to many but its contribution in ‘new union constitution process’ is laudable. Tempers and emotions that flared during the first phase of the process have cooled. Continue reading

Advertisements
Posted in Uncategorized

Obama hopes to tap into Tanzania’s boom

President Obama visiting Tanzania July 1, 2013

President Obama visiting Tanzania July 1, 2013

US President Barack Obama is visiting Tanzania this week, on his first trip as president to East Africa. The country is currently in the process of writing a new constitution, whose first draft proposes a three-tier government – which could lead to the island of Zanzibar seceding from the union with mainland Tanzania. Continue reading

Posted in Uncategorized

Wazanzibari wamewasaliti viongozi wa Uamsho?

Sheikh Farid Hadi Ahmed, mmoja wa viongozi wa Uamsho

Tangu kutajwa kwa mchakato wa kukusanya maoni juu ya katiba mpya, wananchi na tasisi mbalimbali za kiraia nchini Zanzibar wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu hatua hiyo kwa kufuatilia mijadala mbalimbali na hatimae kufikia kuwasilisha maoni yao kwa tume husika. Wengi watakubali kwamba jumuiya ya Uamsho imefanya kazi kubwa katika kuyachambua masuala mbalimbali ambayo Zanzibar ingeyahitaji kuzingatiwa katika katiba mpya. Continue reading

Posted in Uncategorized

Jinsi Moyo alivyowasuta wanaojaribu kuuvunja Umoja wa Wazanzibari

Mzee Hassan Nassor Moyo, mmoja wa waasisi wa CCM na mpigania muungano wa mkataba baina ya Tanganyika na Zanzibar

WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu umuhimu wa nchi kama Zanzibar ya leo kuwa na siasa za umoja badala ya kuwa na siasa za mivutano. Hii ni mivutano yenye kutishia amani ya nchi na hupaliliwa na vyama vya kisiasa. Continue reading

Posted in Uncategorized

Nani CCM B? Msikilize kwa makini Mhe Juma Duni Haji

Waziri wa Afya wa Zanzibar na mjumbe wa Baraza Kuu la Uongozi CUF Taifa, mh. Juma Duni Haji

Madhumuni ya Chama cha wananchi CUF kama yalivyo katika Katiba yake ni, “Kuwaunganisha watanzania wakatae uonevu, kudhalilishwa, kunyanyaswa, kubaguliwa au maovu mengine yanayoweza kufanywa dhidi ya heshima ya utu wa binaadama, yawe yanayotendwa na Serikali, kikundi cha watu walio na uwezo kwa ajili ya mabavu yao au kwa ajili ya kujinufaisha kwao kiuchumi au kisiasa na kiitikadi au kwa kujali dini, kabila jinsia au rangi zao”. (Kifungu cha, 6[1] Katiba ya CUF uk.12) Continue reading

Posted in Uncategorized

HOTUBA YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MHE. MAALIM SEIF SHARIF HAMAD KWA WAANDISHI WA HABARI KATIKA UTARATIBU WA VIONGOZI KUKUTANA NA WAANDISHI KILA BAADA YA MIEZI MITATU KUZUNGUMZIA UTENDAJI SERIKALINI HUKO HOTELI YA GRAND PALACE MALINDI MJINI ZANZIBAR TAREHE 6 OKTOBA 2012

Waheshimiwa Waandishi wa habari
Kwanza kabisa sina budi kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa kutuweka katika hali ya uzima hadi kukutana tena leo kuzungumzia utendaji na majukumu yetu tuliyokabidhiwa na wananchi wa Zanzibar katika serikali yetu ya awamu ya saba ya uongozi ambayo imetimiza takriban miaka miwili sasa. Continue reading

Posted in Uncategorized

Fat-hu Zinjibari

Zanzibar

Kufuatia sui-tafahumi ya miaka nenda miaka rudi katika dola ya Zanzibar, ambayo ilipelekea kudamirika na kupoteza hadhi yake ya asili, Wazanzibari walipigana vita visivyokuwa vya kumwaga damu na hatimae kuikomboa dola ya Zanzibar, katika tukio hili nnaloliita Fat-hu Zinjibari. Vita hivi vilivyopiganwa na makabila mawili yaliyochipukia hivi miaka ya karibuni tu, -lile la Wahafidhina na la Wanamageuzi- vilipiganwa mwanzoni kwa sirisiri na kisha dhahiri. Leo hii, kwa uwezo wa Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo, vita hivi vimemaliza kwa kuwapa ushindi Wanamageuzi, ambao tabaan, ndilo kabila kubwa kwa sasa nchini hapa. Continue reading

Posted in Uncategorized